Nafasi Ya Matangazo

March 06, 2024

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amemtembelea na kumpa pole Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi  nyumbani kwake Migombani, Unguja kufuatia kifo cha Baba yake mzazi, Hayati Mzee Ali Hassan aliyefariki dunia tarehe 29 Februari 2024 na kuzikwa tarehe 02 Machi 2024.
 Kushoto kwa Mhe. Rais Dkt.  Mwinyi ni Mkewe, Mama Mariam Mwinyi.
Posted by MROKI On Wednesday, March 06, 2024 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo