Wakili
Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (kushoto) akimkabidhi zawadi ya Jarida la
Ofisi ya Wakili Mkuu Rais wa Mahakama ya Jumuiya ya Afrika Mashariki baada ya
kikao baina yao kilichofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Mahakama hiyo
Jijini Arusha.
Wakili
Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (kushoto) akipokea zawadi kutoka Rais wa
Mahakama ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, Mhe. Jaji Nestory Kayobera baada ya
kikao baina yao kilichofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Mahakama hiyo
Jijini Arusha.
Wakili
MKuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (wa pili kushoto) na ujumbe wake wakisikiliza
wasilisho kuhusu Mahakama ya Jumjuiya ya Afrika Mashariki inavyofanyakazi
alipotembelea Mahakama hiyo Jijini Arusha.
Wakili
Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (wa pili kulia) akiwa na viongozi wa Mahakama
ya Jumuiya ya Afrika Mashariki alipotembelea moja ya ukumbi wa Mahakama hiyo
baada ya kikao baina yao kilichofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Mahakama
hiyo Jijini Arusha.
Jaji
kiongozi wa Mahakama ya Jumuiya ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, Mhe. Jaji
Yohane Masara akizungumza wa Viongozi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali na
Mahakama hiyo wakati wa ziara ya Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi alipotembelea
Mahakama hiyo kwa lengo la kujionea jinsi Mahakama hiyo inavyotekeleza makujumu
yake jijini Arusha.
Wakili
Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (wa kwanza kulia) akiwa kwenye picha ya
pamoja na Rais wa Mahakama ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, Mhe. Jaji Nestory
Kayobera (aliyesimama katikati), Jaji Kiongozi wa Mahakama hiyo, Mhe. Yohane
Masara na watumishi wengine baada ya kikao baina yao kilichofanyika kwenye
ukumbi wa mikutano wa Mahakama hiyo Jijini Arusha.
Wakili
Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi wa
Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali na Mahakama ya Jumuiya ya Afrika Mashariki
baada ya kutembelea Mahakama hiyo kwa lengo la kuona namna inavyotekeleza
majukumu yake jijini Arusha.
0 comments:
Post a Comment