Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan
amemteua Mhe. Mobhare Matinyi kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari – MAELEZO na
Msemaji Mkuu wa Serikali.
Kabla ya uteuzi huo Bw. Matinyi alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Temeke.
Uteuzi huu unaanza mara moja.
0 comments:
Post a Comment