Nafasi Ya Matangazo

August 21, 2023

Halmashairi ya Mji wa Chalinze imeanza ujenzi wa uwanja wa mpira wa miguu na riadha unaojengwa Msoga, Halmashauri ya Chalinze Mkoani Pwani.

Mbunge wa Chalinze ambaye pia ni Naibu Waziri Ofisi ya Rais UTUMISHI, Ridhiwani Kikwete amesema ujenzi huo umeanza.

Ujenzi wa uwanja wa Mpira wa Miguu na Riadha wenye uwezo wa kuingiza watazamaji Elfu Kumi unaojengwa Msoga, Chalinze unaendelea. Kazi ya kuweka sawa jamvi inaendelea.


 

Posted by MROKI On Monday, August 21, 2023 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo