Nafasi Ya Matangazo

October 28, 2022

Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson ameongoza kikao cha ufafanuzi wa baadhi ya masuala yaliyojitokeza wakati wa Mkutano wa Wabunge wote tarehe 12 Septemba, 2022 kuhusu masuala ya Bima ya Afya kwa Wabunge, Matumizi ya VIP Lounge na Malipo ya Posho kwa Safari za matibabu ya nje ya Nchi kilichofanyika leo tarehe 27 Oktoba, 2022 katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma. Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, Mhe. George Simbachawene na Katibu wa Bunge, ndg. Nenelwa Mwihambi
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Mhe. Agnes Marwa akichangia jambo wakati wa kikao cha ufafanuzi wa baadhi ya masuala yaliyojitokeza wakati wa Mkutano wa Wabunge wote tarehe 12 Septemba, 2022 kuhusu masuala ya Bima ya Afya kwa Wabunge, Matumizi ya VIP Lounge na Malipo ya Posho kwa Safari za matibabu ya nje ya Nchi kilichofanyika leo tarehe 27 Oktoba, 2022 katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma.
Mbunge wa Nzega Vijijini, Mhe. Hamisi Kigwangalla akichangia jambo wakati wa kikao cha ufafanuzi wa baadhi ya masuala yaliyojitokeza wakati wa Mkutano wa Wabunge wote tarehe 12 Septemba, 2022 kuhusu masuala ya Bima ya Afya kwa Wabunge, Matumizi ya VIP Lounge na Malipo ya Posho kwa Safari za matibabu ya nje ya Nchi kilichofanyika leo tarehe 27 Oktoba, 2022 katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson ameongoza kikao cha ufafanuzi wa baadhi ya masuala yaliyojitokeza wakati wa Mkutano wa Wabunge wote tarehe 12 Septemba, 2022 kuhusu masuala ya Bima ya Afya kwa Wabunge, Matumizi ya VIP Lounge na Malipo ya Posho kwa Safari za matibabu ya nje ya Nchi kilichofanyika leo tarehe 27 Oktoba, 2022 katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma. Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, Mhe. George Simbachawene

Wabunge wakiwa katika kikao cha ufafanuzi wa baadhi ya masuala yaliyojitokeza wakati wa Mkutano wa Wabunge wote tarehe 12 Septemba, 2022 kuhusu masuala ya Bima ya Afya kwa Wabunge, Matumizi ya VIP Lounge na Malipo ya Posho kwa Safari za matibabu ya nje ya Nchi kilichofanyika leo tarehe 27 Oktoba, 2022 katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma.
Posted by MROKI On Friday, October 28, 2022 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo