Mbunge wa Jimbo la Monduli, Fredrick Lowassa akikabdhi msaada wa mablangeti 200 kwa wanafunzi wa Kidato cha kwanza Shule ya Sekondari Engutoto ambao vitu vyao viliteketea baada ya Bweni kuwaka moto. Msaada huo umetolewa na shirika la Msalaba Mwekundu.
Mbunge wa Jimbo la Monduli, Fredrick Lowassa akikabdhi msaada wa magodoro 200 kwa wanafunzi wa Kidato cha kwanza Shule ya Sekondari Engutoto ambao vitu vyao viliteketea baada ya Bweni kuwaka moto. Msaada huo umetolewa na shirika la Msalaba Mwekundu.

Mbunge wa Jimbo la Monduli, Fredrick Lowassa akikagua moja ya vyumba shuleni hapo.
Bweni la Serengeti ambalo limeteketea kwa moto
Mbunge wa Jimbo la Monduli, Fredrick Lowassa akisaini kitabu cha wageni shuleni hapo.
Mbunge wa Jimbo la Monduli, Fredrick Lowassa akiwa na baadhi ya viongozi na walimu wakitembelea shule hiyo.
Mbunge wa Jimbo la Monduli, Fredrick Lowassa akiwa kwenye picha na wanafunzi wa shule hiyo.
MBUNGE wa Jimbo la Monduli, Fredrick Lowassa, leo Septemba 20,2022 ametembelea na kuwafariji wanafunzi Shule ya Engutoto Sekondari baada ya moto kuteketeza bweni shuleni hapo.Lowassa amekabidhi shuleni hapo, msdaada wa Magodoro 200, Blanket 200 pamoja na Vyandarua 200 vilivyotolewa na Shirika la msalaba mwekundu baada kuunguliwa na Moto vifaa vyao.
Moto huo uliunguza Bweni la Wanafunzi wa kidato cha kwanza pamoja na vifaa vyao vyote.
Akizungumza wakati wa kukabidhi msaada huo, Lowassa aliwashukuru viongozi wa Shirika la Msalaba Mwekundu Tanzania (Red cross) kwa kuwakimbilia na kuwapa msaada huo muhumi katika kipindi hiki kigumu.
0 comments:
Post a Comment