Nafasi Ya Matangazo

August 04, 2022

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Kamishna wa Polisi Zanzibar Hamad Khamis Hamad, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kijitambulisha, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 4-8-2022.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Kamishna wa Polisi Zanzibar. Hamad Khamis Hamad, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 4-8-2022, alipofika kujitambulisha.

Posted by MROKI On Thursday, August 04, 2022 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo