Nafasi Ya Matangazo

April 16, 2022

Ujumbe wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya makazi, ukiongozwa na Naibu Waziri wake, Ridhiwani Kikwete umeshiriki mkutano wa Mashauriano ya Mawaziri wa Ardhi wa Nchi za Afrika uliandaliwa na UN-HABITAT mjini Nairobi, Kenya huku Agenda ikiwa ni Miji mipya.  Pichani Ujumbe wa Tanzania ukifuatilia Mkutano
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Ridhiwani Kikwete akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa UN-HABITAT Bi. Maimuna Mohamed Sharif.
Posted by MROKI On Saturday, April 16, 2022 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo