Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi ameeleza utayari wa Serikali ya Awamu ya sita chini ya Uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan kuendelea na ujenzi wa miradi iliyokuwa imesimama wakati akichangia hoja iliyowasilishwa na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii.
"Serikali iko tayari kukamilisha miradi iliyokuwa imesimama inayojengwa katika Kiwanja No.300 Regent Estate, Kiwanja No. 711 , na Moroco Square.” Alisema Ndg. Ridhiwani Kikwete.
0 comments:
Post a Comment