Nafasi Ya Matangazo

January 11, 2022


Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji wa Mahakama ya Rufaa, Mhe. Jacobs Casthom Mwambegele jana tarehe 11 Januari, 2022  akikabidhiwa shada la maua na wafanyakazi wa Tume baada ya kuwasili katika ofisi hizo muda mfupi baada ya kuapishwa na Rais Samia Suluhu Hassan kushika nafasi hiyo.

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji wa Mahakama ya Rufaa, Mhe. Jacobs Casthom Mwambegele jana tarehe 11 Januari, 2022 amekabidhiwa ofisi na Mwenyekiti Mstaafu wa Tume Jaji Rufaa (Mst) Mhe. Semistocles Kaijage. Hafla hiyo fupi imefanyika katika Ukumbi wa Mikutano uliopo katika Ofisi za Tume, Njedengwa Jijini Dodoma na kuhudhuriwa na Wajumbe, Menejimenti na Watumishi wa Tume.

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji wa Mahakama ya Rufaa, Mhe. Jacobs Casthom Mwambegele jana tarehe 11 Januari, 2022 akiwa katika picha ya pamoja na watumishi na viongozi wengine wa Tume.

Posted by MROKI On Tuesday, January 11, 2022 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo