Mkuu wa Tabora Balozi Dkt. Batilda Buriani akitoa salamu za Serikali leo kwenye kikao cha Baraza la Madiwani wa Manispaa ya Tabora.
*********
Na Lucas Raphael,TaboraViongozi wa kata,mitaa na vijiji katika manispaa ya Tabora wametakiwa kuwahimiza wananchi kulima mazao yanayohili ukame ili waweze kujikinga na njaa msimu ujao wa kilimo.






0 comments:
Post a Comment