Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwan Kikwete akikabidhi vitu mbalimbali ikiwa ni utekelezaji wa matakwa ya ilani ya Uchaguzi ya CCM inayoelekeza kugawa 10% toka makusanyo ya Halmashauri.
Halmashauri ya Chalinze imeendelea kutimiza matakwa hayo kwa kupeleka Shilingi Milioni 840 kwa Walengwa ambao ni makundi ya Vijana, Wenyeulemavu na wanawake.
Wenye ulemavu wakipatiwa msaada wa vitu vitakavyoweza kuwasaidia kujikwamua katika shughuli zao
Wanawake nao hawakuachwa katika hizo asiliamia 10.










0 comments:
Post a Comment