Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa
Makampni ya ASAS na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM wa Mkoa wa
Iringa, Salim Abri wakati alipowasili kwenye kiwanda cha maziwa cha
ASAS cha mjini Iringa akiwa katika ziara ya kikazi mkoani humo Septemba
25, 2019. kutoka kushoto ni Katibu Mkuu wizara ya Mifugo Profesa
Elisante Ole Gabriel na Waziri wa Ardhi Mh. William Lukuvi .
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisalimiana na Katibu Mkuu wa wizara ya Mifugo Elisante Ole Gabriel
mara baada ya kuwasili katika kiwanda cha maziwa cha ASAS cha mjini
Iringa akiwa katika ziara ya kikazi mkoani humo Septemba 25, 2019.
katikati ni Waziri wa Ardhi Mh. William Lukuvi.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisalimiana na Fuad Abri.Fuad Abri Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda cha
maziwa cha ASAS cha mjini Iringa akiwa katika ziara ya kikazi mkoani
humo Septemba 25, 2019. wa pili kutoka Kushoto ni Ahmed Salim mmoja wa
wakurugenzi wa Makampuni ya ASAS.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
aakiongozana na Mkurugenzi Mtendaji wa Makampni ya ASAS na Mjumbe wa
Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM wa Mkoa wa Iringa, Salim Abri wakati
alipowasili kwenye kiwanda cha maziwa cha ASAS cha mjini Iringa akiwa
katika ziara ya kikazi mkoani humo Septemba 25, 2019 kulia ni Mkuu wa
mkoa wa Iringa Ally Happy.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akitembelea kiwanda cha maziwa cha ASAS cha mjini Iringa akiwa katika
ziara ya kikazi mkoani humo Septemba 25, 2019. Kushoto ni Mkugenzi
Mtendaji wa Makampni ya ASAS na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya
CCM wa Mkoa wa Iringa, Salim Abri na katikati ni anayetoa maelezo ni
Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda hicho, Fuad Abri.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akitembelea kiwanda cha maziwa cha ASAS cha mjini Iringa akiwa katika
ziara ya kikazi mkoani humo Septemba 25, 2019. Kushoto ni Mkugenzi
Mtendaji wa Makampni ya ASAS na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya
CCM wa Mkoa wa Iringa, Salim Abri na katikati anayetoa maelezo ni
Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda hicho, Fuad Abri.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akiuliza jambo wakati alipotembelea kiwanda cha maziwa cha ASAS cha
mjini Iringa akiwa katika ziara ya kikazi mkoani humo Septemba 25,
2019. Kushoto ni Mkugenzi Mtendaji wa Makampni ya ASAS na Mjumbe wa
Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM wa Mkoa wa Iringa, Salim Abri. BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akiangalia mashine za kisasa zilizofungwa wakati alipotembelea kiwanda
cha maziwa cha ASAS cha mjini Iringa akiwa katika ziara ya kikazi mkoani
humo Septemba 25, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na
Mkewe Mama Mary Majwaliwa wakiangalia jinsi mitambo inavyofanya kazi
wakati akitembelea kiwanda cha maziwa cha ASAS cha mjini Iringa akiwa
katika ziara ya kikazi mkoani humo Septemba 25, 2019. Kushoto ni
Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda hicho, Fuad Abri.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akiangalia bidhaa za maziwa zilizotengenezwa tayari kiwandani hapo huku
Mkugenzi Mtendaji wa Makampni ya ASAS na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya
Taifa ya CCM wa Mkoa wa Iringa, Salim Abri akiwa pamoja naye.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akiangalia akizungumza jambo na wafanyakazi wa kiwanda hicho wakati
alipotembelea na kuona shughuli mbalimbali zinazofanywa kiwandani hapo
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza jambo na Mmoja wa wakurugenzi Ahmed Salim wakati
akitembelea kiwanda hicho kulia ni Mkuu wa mkoa wa Iringa Ally Happy
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akitembelea kiwanda cha maziwa cha ASAS cha mjini Iringa akiwa katika
ziara ya kikazi mkoani humo Septemba 25, 2019. akiwa na Mkugenzi
Mtendaji wa Makampni ya ASAS na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya
CCM wa Mkoa wa Iringa, Salim Abri na Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda
hicho, Fuad Abri.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akitembelea kiwanda cha maziwa cha ASAS cha mjini Iringa akiwa katika
ziara ya kikazi mkoani humo Septemba 25, 2019. Kushoto ni Mkugenzi
Mtendaji wa Makampni ya ASAS na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya
CCM wa Mkoa wa Iringa, Salim Abri na katikati anayetoa maelezo ni
Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda hicho, Fuad Abri.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na
Mkewe Mama Mary Majaliwa wakiangalia bidhaa za maziwa zinazotengenezwa
kiwandani hapo wakati alipotembelea kiwanda cha maziwa cha ASAS cha
mjini Iringa akiwa katika ziara ya kikazi mkoani humo Septemba 25,
2019. kulia anayetoa maelezo ni Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda hicho,
Fuad Abri.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na
Mkewe Mama Mary Majaliwa wakiangalia tuzo ambazo kiwanda hichi
kimejishindia kutokana na ubora wa bidhaa zake za maziwa wakati
alipotembelea kiwanda cha maziwa cha ASAS cha mjini Iringa akiwa katika
ziara ya kikazi mkoani humo Septemba 25, 2019. kulia anayetoa maelezo
ni Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda hicho, Fuad Abri.
Baadhi ya mabalozi wa Maziwa ya
ASAS wakiwa katika kiwanda hicho leo ikiwani ni maadhimisho ya siku ya
unywaji maziwa inayofanyika kitaifa mkoani Iringa.
Faraj Abri mmoja wa wakurigenzi
wa ASAS akiwa pamoja na mabalozi wa maziwa ya ASAS Diariers ambao wako
mjini Iringa kwa ajili ya maadhimisho ya siku ya unywaji maziwa kitaifa
inayofanyika mkoani humo.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na
Mkewe Mama Mary Majaliwa wakizungumza na mtoto Maya ambaye ni muigizaji
anayechipukia na Balozi wa bidhaa za maziwa ASAS wakati alipotembelea
kiwanda cha maziwa cha ASAS cha mjini Iringa akiwa katika ziara ya
kikazi mkoani humo Septemba 25, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na
Mkewe Mama Mary Majaliwa wakiwa katika picha ya pamoja na mabalozi wa
bidhaa za maziwa zinazotengenezwa na kiwanda cha maziwa cha ASAS cha
mjini Iringa akiwa katika ziara ya kikazi mkoani humo Septemba 25, 2019. (PICHA NA JOHN BUKUKU-FULLSHANGWEBLOG-IRINGA)
0 comments:
Post a Comment