Nafasi Ya Matangazo

January 14, 2019

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Daniel Chongolo akizungumza na wananchi wakati alipotembelea Tenki la maji la Wazo na kuwahakikishia Watapata maji kama walivyoahidiwa na Afisa Mtendaji wa DAWASA. Picha zote na Cathbert Kajunason/MMG. 
Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na Majitaka (DAWASA) Mhandisi Cyprian Luhemeja akizungumza mbele ya wananchi wa Tegeta Wazo na kuwahakikishia maji safi na salama kufikia leo usiku. 
Mmoja ya wananchi akitoa shukrani mara baada ya kumaliza mkutano. Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na Majitaka (DAWASA) Mhandisi Cyprian Luhemeja (wa pili toka kushoto) akiw ana wananchi wakikagua maji yaliyokuwa yakitolewa katika tanki la maji ili kuweza maji safi tayari kuwasambazia wananchi. 
Pampu za maji zilizofungwa ili kuweza kuwasambazia wananchi maji. 
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Daniel Chongolo na Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na Majitaka (DAWASA) Mhandisi Cyprian Luhemeja wakishuka kutoka katika tanki la maji. 
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Daniel Chongolo na Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na Majitaka (DAWASA) Mhandisi Cyprian Luhemeja wakikagua umaliziaji wa bomba ili kuweza kuwapatia maji wakazi wa Kata ya Madale na vitongoji vyake. 
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Daniel Chongolo akisikiliza maelezo kutoka kwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na Majitaka (DAWASA) Mhandisi Cyprian Luhemeja wakati alipotembelea tenki la maji la Wazo.
Posted by MROKI On Monday, January 14, 2019 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo