Nafasi Ya Matangazo

January 13, 2019

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akimsalimia na kumpa mkono wa pole Ndugu wa Marehemu Bi. Johari Yussuf Akida,alipofika nyumbani kwao Mwanakwerekwe  na Mkewe Mama Mwanamwema Shein,kutowa mkono wa pole leo.13/1/2019. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, atowa mkono wa pole kwa Wanafamilia ya Marehemu Bi. Johari Yussuf Akida, aliyefariki wiki iliopita, katikati Mtoto wa Marehemu Bi. Shawana Buheti,anayefuata Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, walipofika katika makaazi yao Mwanakwerekwe kutowa mkono wa pole leo 13/1/2019.(Picha na Ikulu) 
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,  Dk. Ali Mohamed Shein, akimfariji Mtoto wa Marehemu Bi. Johari Yussuf Akida, muasisi wa CCM.katikati Bi.Shawana Buheti na kushoto Mke wa Rais wa Zanzibar. Mama Mwanamwema Shein, walipofika nyumbani kwake Mwanakwerekwe Unguja kutowa mkono wa pole leo.13/1/2019.
Posted by MROKI On Sunday, January 13, 2019 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo