Nafasi Ya Matangazo

August 04, 2018

 Maonesho ya Wakulima Nane Nane yamefunguliwa Agosti 3,2018 na Waziri wa Kilimo, Dk.Charles Mwijage na yanafanyika katika viwanja vya Nyakabindi vilivyopo nje kidogo ya Mji wa Bariadi (20km) Mkoani Simiyu na tayari wananchi wameanza kutembelea maonesho hayo na kujifunza na kuona vitu mbalimbali. Posted by MROKI On Saturday, August 04, 2018 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo