MHESHIMIWA MIZENGO
PETER PINDA, WAZIRI MKUU MSTAAFU ANASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA BABA YAKE MZAZI,
MZEE XAVERY MIZENGO PINDA (90) KILICHOTOKEA LEO TAREHE 27 NOVEMBA, 2016 SAA
9:30 ALASIRI KATIKA HOSPITALI YA MKOA WA DODOMA.
HABARI ZIWAFIKIE:
1. FAMILIA YA MAREHEMU WALIOKO KIJIJI CHA KIBAONI, WILAYA
YA MLELE MKOANI KATAVI NA WALE WALIOKO NJE YA MKOA HUO.
2. NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI MBALIMBALI POPOTE PALE WALIPO.
3. VIONGOZI MBALIMBALI WA SERIKALI, CHAMA TAWALA NA VYAMA
VINGINE VYA SIASA.
TARATIBU ZA
MAZISHI ZINAFANYIKA NYUMBANI KWAKE, ZUZU MKOANI DODOMA.
TAARIFA ZAIDI ZITATOLEWA BAADAYE.
0 comments:
Post a Comment