Nafasi Ya Matangazo

August 04, 2016

Stanley Magesa (mjasiriamali) akifafanua jambo ndani ya studio kuhusu YALI 2016
Aug 3, 2016 tulipata fursa ya kutembelewa na kuhojiana na baadhi ya Watanzania wanaowakilisha kwenye mkutano wa Mandela Washington Fellowship - Young African Leaders Initiative (YALI) 2016 waliomaliza mkutano wao hapa Washington DC.

Walikuwa wakarimu sana kujiunga nasi Studio na kuzungumza nasi kuhusu mambo mbalimbali.
Karibu uwasikilize

Heri Emmanuel (kati kutoka Mwanza) akieleza jambo huku Tusekile Mwakalundwa ( Mhadhiri na Mwanasheria kutoka Arusha) akisikiliza kwa makini. Kulia ni Mubelwa Bandio wa Kwanza Production na Vijimambo Radio
Baadhi ya wawakilishi wa YALI 2016 kutoka Tanzania, wajasiriamali Stanyey Magesa (Mwanza), Simon Malugu (Morogoro) na Lusajo Mwaisaka (Dar) wakiwa kwenye mahojiano Kilimanjaro Studio
Mshiriki wa YALI 2016 Heri Emmanuel (Mwanza) kulia akaifafanua jambo huku akisikilizwa na mshiriki mwenzake ambaye pia ni Mhadhiri na Mwanasheria Tusekile Mwakalundwa (Arusha) na mjasiriamali na Lusajo Mwaisaka (kutoka Dar)

Posted by MROKI On Thursday, August 04, 2016 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo