WAOMBOLEZAJI ndugu, jamaa na marafiki wa Marehemu Omary Masoud wakiomba dua katika kaburi la marehemu huyo leo baada ya maziko yaliyofanyika katika Makaburi ya Boko jijini Dar es Salaam. Marehemu Omary alifariki jana mchana akiwa anaendesha pikipiki na kugongwa na Lori la Mchanga katika eneo la Makongo akielekea katika eneo lake la ujenzi.
Mwili wa marehemu ukiwa tayari kushushwa kaburini.
Waombolezaji wakiwa wamelibeba jeneza lililohifadhi mwili wa marehemu.
Mwili wa marehemu Omary Masoud ukiswaliwa nyumbani kwa kaka yake Boko jijini Dar es Salaam kabla ya kwenda kuzikwa.
Waombolezaji wakiwa wamejipanga kubeba jeneza lililo na mwili wa marehemu.
waombolezaji
0 comments:
Post a Comment