Mkurugenzi
wa halmashauri ya Jiji la Arusha(CD),Athuman Juma akizungumza na
waandishi wa habari ofisini kwake leo juu ya mipango kabambe ya
kukomesha wavamizi wa maeneo ya wazi ambayo yametambuliwa kuwa ni
viwanja 52 pamoja na kukusanya mapato kwanjia za kieletroniki na mashine
za EFD's kuhakikisha mapato hayapotei.
Mwandishi wa habari wa gazeti la Mtanzania,Eliya Mbonea akiuliza swali.
Mkurugenzi
wa halmashauri ya Jiji la Arusha(CD),Athuman Juma akizungumza na
waandishi wa habari ofisini kwake leo
Waandishi wa habari wakiwa makini kuchukua taarifa hiyo
Waandishi wa habari wakiwa makini kuchukua taarifa hiyo
Afisa Habari wa Jiji la Arusha,Nteghenjwa Hoseah akizungumza jambo baada ya mkutano huo.
Habari nzuri lakini hajitoshelezi kabisaa,hivi kweli huyu mkurugenzi aliwaiuta kisha akasema maneno machache hivi??hakutaja viwanja viko wapi?jambo lingine hamkupata nafasi ya kumuuliza maswali kwa niaba ya wakazi wa Arusha?
ReplyDelete