Rais John Magufuli wa Tanzania (kulia) akigonganisha glasi na mwenyeji wake Rais Paul Kagame wa Rwanda wakati wa dhifa maalum ya kumkaribisha Rais Magufuli nchini Rwanda iliyoandaliwa na mwenyeji wake katika Ikulu ya Rwanda. Anaeshuhudia katikati ni Mke wa Rais Magufuli, Janneth Magufuli. Hii ni ziara ya kwanza kwa rais huyo wa Tanzania kutoka nje ya nchi yake. Na alikua Rwanda kwa ziara ya siku mbili ya kiserikali ambapo pamoja na mambo mengine alishiriki katika maadhimisho ya miaka 22 ya mauaji ya Kimbari.
Meza kuu ya marais hao wawili, Paul Kagame wa Rwanda na mgeni wake John Magufuli wa Tanzania pamoja na wake zao.
Katika hotuba yake Rais Kagame alimweleza haya Rais Magufuli."You must know, first of all, that you are in your brother’s place.Since you were elected, you presence has been refreshing. Your words & deeds reflect our vision. Your stance against corruption is very refreshing. We are committed to working with partners who feel we have to raise our level of dignity because that is what we deserve.
Rais Dk John Magufuli wa Tanzania nae alipata wasaa wa kuzungumza.
0 comments:
Post a Comment