Kampuni ya Coca-Cola imezindua promosheni mpya nchini ya “Onja Msisimko’ jana , hafla kubwa ya uzinduzi ilifanyika katika hoteli ya Ledger Plaza Bahari Beach na kuhudhuriwa na mamia ya wananchi kutoka sehemu mbalimbali za jiji la Dar es Salaam na mikoa ya jirani.
Hafla kubwa ya uzinduzi
ilifanyika katika hoteli ya Ledger Plaza Bahari Beach na kuhudhuriwa na
mamia ya wananchi kutoka sehemu mbalimbali za jiji la Dar es Salaam na
mikoa ya jirani.
Kampuni ya Coca-Cola
imezindua promosheni mpya nchini ya “Onja Msisimko’ jana , hafla
kubwa ya uzinduzi ilifanyika katika hoteli ya Ledger Plaza Bahari Beach na
kuhudhuriwa na mamia ya wananchi kutoka sehemu mbalimbali za jiji la Dar
es Salaam na mikoa ya jirani.
Hafla ya uzinduzi ilisheheni
burudani za kila aina ikiwemo muziki kutoka wanamuziki nguli wanaotamba kwa
kupiga muziki wa kizazi kipya ambao waliwapatia raha waliohudhuria uzinduzi huo
hususani vijana ambao walihudhuria kwa wingi.
Akiongea kuhusiana na kampeni
hii, mmoja wa maafisa wa Coca Cola nchini Mariam Sezinga alisema kuwa “Onja
Msisimko” ni kampeni inayowapatia watumiaji wa kinywaji cha Coca-Cola kupata
fursa ya kuelezea uzoefu na furaha wanayoipata kutokana na kutumia
kinywaji hiki.
Pichani juu ni Meneja wa kuendeleza masoko ya Coca-Cola nchini Mouren Sikka akiongea
na waandishi wa habari kuhusiana
na kampeni ya Onja Msisimko
Washindi walifurahia
Timu
zikichuana katika mchezo wa Valebal wakati wa uzinduzi wa promosheni mpya
nchini ya “Onja Msisimko’ inayoendeshwa na kampuni ya vinywaji baridi ya
Coca Cola na kufnyika jijini Dar es Salaam jana. BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI.
Zawadi mbalimbali pia zilitolewa
Baadhi ya waalikwa wakifurahi kwa kupiga picha kwa mapozi mbalimbali
Wageni waalikwa wakifuatilia burudani mbalimbali katika hafla hiyo
Wageni wakipata chakula katika hafla hiyo
0 comments:
Post a Comment