Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Inj. Gerson Lwenge (katikati) akiongozana na Mwenyekiti wa bodi ya Shirika la Maji taka na Maji safi Dar es Salaam (DAWASCO) , Meja General (mstaafu), Samuel Kitundu (kushoto) na Afisa Mtendaji Mkuu wa Dawasco, Cyprian Luhemeja , wakati Waziri huyo alipoitembelea Dawasco jana na kisha kutangaza watumishi tisa ambao ameiagiza bodi kuwasimamisha kazi kupisha uchunguzi dhidi yao kufuatia tuhuma mbalimbali. Mhandisi Lwenge alitembelea leo.
WATUMISHI AMBAO WAZIRI AMEAGIZA BODI IWASIMAMISHE KAZI NI:-
Meneja Rasilimali Watu,
Mvano Mandawa, Meneja Ufuatiliaji na Tathmini, Reinary Kapera, Teresia Mlengu,
Emmanuel Guluba, Peter Chacha, Fred Mapunda, Reginald Kessy, Jumanne Ngelela na
Bernard Nkenda.
Aidha Waziri Lwenge aliagiza pia kuchunguzwa kwa CEO wa zamani Jackson Midala.
Miongoni mwa tuhuma zao ni pamoja na kufanya maunganisho ya maji yasiyofuata utaratibu kwa kampuni ya STRABAG inayotekeleza mradi wa mabasi yaendayo kasi na kusababisha kulikosesha shirika mapato yenye thamani ya sh Bilioni 2.8 (2,887,577,134/=).
Mameneja wa Dawasco wakiwa katika mkutano
huo.Baadhi yao walisimamisha kupisha uchunguzi wa tuhuma zinazo wakabili.
Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Inj.
Gerson Lwenge (kulia) akizungumza na bodi pamoja na
menejimenti ya Shirika la Maji taka na Maji safi Dar es Salaam (DAWASCO) wakati
Waziri huyo alipotembelea makao makuu ya shirika hilo Dar es Salaam jana na
kuiagiza bodi kusimamisha kazi watumishi tisa.
Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Inj.
Gerson Lwenge (aliyesimama) akizungumza na bodi pamoja na
menejimenti ya Shirika la Maji taka na Maji safi Dar es Salaam (DAWASCO) wakati
Waziri huyo alipotembelea makao makuu ya shirika hilo Dar es Salaam jana na
kuiagiza bodi kusimamisha kazi watumishi tisa. BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI
Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Inj.
Gerson Lwenge (aliyesimama) akizungumza na bodi pamoja na
menejimenti ya Shirika la Maji taka na Maji safi Dar es Salaam (DAWASCO) wakati
Waziri huyo alipotembelea makao makuu ya shirika hilo Dar es Salaam jana na
kuiagiza bodi kusimamisha kazi watumishi tisa.
Mameneja wa Dawasco wakiwa katika mkutano huo.
Mmoja wa mamena wa Dawasco akichukua dondoo za yake yaliyosema na Waziri Lwenge
Mameneja wa Dawasco wakiwa katika mkutano huo.
Mameneja wa Dawasco wakiwa katika mkutano huo.
Mwenyekiti wa bodi ya Dawasco, Meja General (Mstaa) Samuel Kitundu (wapili kushoto) na baadhi ya wajumbe wa bodi wakitoka katiia mkutano huo. Ambapo pamoja na mambo mengine pia Waziri Lwenge aliiagiza bodi hiyo kuchunguza kampuni zote kubwa jijini Dar es Salaam kama zinalipia huduma ya maji.
Mameneja wakitoka katika mkutano huo.
0 comments:
Post a Comment