Naomba nikufahamishe kuwa sasa unaweza kuingia kwenye PLAY STORE na ku download APP ya Mbeya City Fc ili uweze kupata habari kirahisi zaidi kutoka kwetu.
Asante kwa ushirikiano wako, asante kwa kuwa pamoja nasi na asante kwa kuchagua kuwa sehemu ya Mbeya City FC, tutaendelea kukufahamisha kila kinachotokea kwenye timu yetu kwa muda na wakati husika.
0 comments:
Post a Comment