Mwakilishi wa Kudumu wa Swizaland katika Jumuia ya Aifrika Mashariki (EAC) Balozi Arthur Matti, (kulia) akizungumza na Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu,Jaji Augustino Ramadhani, makao Makuu ya Mahaka hiyo Jijini Arusha alipomtembelea leo . Wawili hao wamezungumza mengi kuhusu Mahakam hiyo ya Afrika na ushirikiano baina ya pande hizo mbili.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment