Nafasi Ya Matangazo

March 01, 2016

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania, Hamza Johari akiwa rasmi  ofini kwake kuanza majukumu yake kama Mkurugenzi Mkuu TCAA  ,baada ya kukaribishwa rasmi TCAA.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Hamza Johari   (katikati) akimsikiliza kwa makini Mwanasheria wa Mamlaka hiyo , Vallery Chamulungu  wakati alipokuwa akimkaribisha rasmi ofsini hapo.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA).Hamza Johari  (watatu kushoto) akimsikiliza kwa makini Mwanasheria wa Mamlaka hiyo , Vallery Chamulungu (watatu kutoka kulia) wakati alipokuwa akimkaribisha rasmi ofisini Makao Makuu ya TCAA, Banana Ukonga Dar es Salaam. Wengini ni maofsa wa mamlaka hiyo.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA)  Hamza Johari (KUSHOTO)akisalimiana na Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Uongozaji ndege na Huduma za ufundi  , Bw. Nyello Abeid ,wakati wa kumkalibisha  rasmi  kuanza kazi TCAA.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA) Hamza Johari akiwa katika kikao na menejimenti ya Mamlaka hiyo mara baada ya kukaribishwa rasmi kuanza kazi   Makao Makuu ya TCAA, Banana Ukonga Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA) Hamza Johari akiwa katika kikao na menejimenti ya Mamlaka hiyo mara baada ya kukaribishwa rasmi kuanza kazi   Makao Makuu ya TCAA, Banana Ukonga Dar es Salaam.
Posted by MROKI On Tuesday, March 01, 2016 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo