Nafasi Ya Matangazo

January 17, 2016

mwenyekiti
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye (mwenye suti ya kijivu) akimpongeza mwenyekiti mpya wa Friends of Kinana (FK) aliyeteuliwa hivi karibuni, Ahmed Michuzi ambaye pia ni Mmiliki wa Blogu ya Jiachie na mkurugenzi mwandamzi wa Michuzi Media alikuwa mwanachama mwaminifu wa FK, tukio hilo limetokea leo wakati alipokutana naye kwenye ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo jijini Dar es salaam, Cheo hicho kilikuwa kikishikiliwa na Kamanda Richard Mwaikenda
Posted by MROKI On Sunday, January 17, 2016 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo