Nafasi Ya Matangazo

January 17, 2016

1Mwanamitido  wa Kimataifa, Flaviana Matata akizungumza wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya  ya Mazingira Bora kwa Elimu Bora yenye lengo la kufanikisha maendeleo ya elimu katika Jimbo la Segerea kwa kusaidia kununua madawati, kuchimba matundu ya vyoo, kuchimba visima vya maji na kujenga vyumba maalum vya watoto wa kike, chini ya uratibu wa Mfuko wa Udhamini wa Elimu wa Bonnah (BETF), jijini Dar es Salaam jana. Wengine pichani ni mwandaaji wa kampeni hiyo ambaye ni Mbunge wa Segerea, Bonnah Kaluwa na Mratibu wa Elimu Josephat Peter. 
   Mwandaaji wa Kampeni hiyo ambaye ni Mbunge wa Segerea, Bonnah Kaluwa (katikati) akizungumza wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya  ya Mazingira Bora kwa Elimu Bora yenye lengo la kufanikisha maendeleo ya elimu katika Jimbo la Segerea kwa kusaidia kununua madawati, kuchimba matundu ya vyoo, kuchimba visima vya maji na kujenga vyumba maalum vya watoto wa kike, chini ya uratibu wa Mfuko wa Udhamini wa Elimu wa Bonnah (BETF), jijini Dar es Salaam jana. 
 Mbunge Bonnah Kaluwa na wenzake wakifurahia jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari.
 Wadau wa habari wakichukua matukio wakati wa  hafla ya uzinduzi wa kampeni ya Mazingira Bora kwa Elimu Bora.
Wageni waalikwa kutoka Jimbo la Segerea wakiwepo wananchi wa kawaida wakifuatilia tukio la uzinduzi wa kampeni hiyo.
Posted by MROKI On Sunday, January 17, 2016 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo