Kundi jipya la muziki linalojulikana kama District 9 limeibuka na kibao kikali kijulikanacho kama Ee eh
District
9 inaundwa na vijana ambao fani yao ya kwanza siyo muziki wala usanii
ila wana vipaji vya muziki na wakiwa wanafanya kazi za taaluma
mbalimbali.
Miongoni mwao yupo mwana dada ambaye ni kapteni wa jeshi, mwanasheria, Meneja Masoko na wenye fani nyinginezo. Dhamira yao ni kutoa nyimbo zenye ujumbe wa kuelimisha jamii.
0 comments:
Post a Comment