Wafanyabiashara wa madini kutoka Tanzania wakiendelea kuonesha
madini ya vito katika Banda la Tanzania jijini Bangkok, Thailand. Nchi ya
Thailand hufanya maonesho hayo kila mwaka ambapo huwaingizia fedha nyingi za
kigeni zinazotokana na mauzo ya vito pamoja na utalii unaotokana na wageni
wanaokuja kushiriki kwenye maonesho hayo kutoka nchi mbalimbali duniani.
Baadhi ya Madini ya Vito kutoka Tanzania yakiwa katika banda la
Tanzania kwa ajili ya mauzo kwa Wafanyabiashara wa nchi mbalimbali waliofika
katika banda hilo kununua kutoka kwa wafanyabiashara wa Tanzania.
Wafanyabiashara wa madini kutoka Tanzania wakiendelea kuonesha
madini ya vito katika Banda la Tanzania jijini Bangkok, Thailand. Nchi ya
Thailand hufanya maonesho hayo kila mwaka ambapo huwaingizia fedha nyingi za
kigeni zinazotokana na mauzo ya vito pamoja na utalii unaotokana na wageni
wanaokuja kushiriki kwenye maonesho hayo kutoka nchi mbalimbali duniani.
0 comments:
Post a Comment