Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisistiza jambo katika mkutano huo.
Wananchi
wakiwa wamefurika kwenye uwanja wa Jamhuti mjini Morogoro kwenye
mkutano wa hadhara wa kampeni,ambapo Dkt Magufui aliwahutubia wananchi
hao sambamba na kuzinadi sera zake
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha
Mapinduzi (CCM),Dkt John Pombe Magufuli akihutubia maelfu ya wananchi
kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM uliofanyika katika uwanja wa
Jamhuri jioni ya leo koani Morogoro.
Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Jakaya Kikwete na Mgombea Urais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakiwapungia
mikono wananchi huku wakiwa wameshika kofia zao.
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi
(CCM),Dkt John Pombe Magufuli akimnadi mgombea Ubunge wa jimbo la
Morogoro mjini,Mh Azizi Abbod mbele ya maelfu ya wananchi (hawapo
pichani) kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM uliofanyika katika
uwanja wa Jamhuri jioni ya leo koani Morogoro. Picha zaidi >>>FK MATUKIO
HAPA NAJIZUIA KUSEMA HONGERA CCM KWA MKUTANO HUU WA MOROGORO AMBAO KWA KIASI KIKUBWA[ZAIDI YA ASILIMIA 70]ULITAWALIWA NA FIESTA YA NGUVU SANA YA MUZIKI KWANI WALE WANAMUZIKI WOTE WALIOMWALIKA MHE. KIKWETE MLIMANI CITY WALIKUWEPO.KWA UCHACHE ZAIDI YA VIKUNDI 100 VILITUMBUIZA RADHA YA MIKUTANO YA KAMPENI ZA`WANASIASA NI WANASIASA WENYEWE TUWASIKILIZE SERA TUWAPIME TUAMUE SIKU YA SI KU NI AKINA NANI WA KUTUONGOZA.NILIKUWEPO MORO JAMHURI NILIMSHUHUDIA ALLY KIBA NA WANENGUAJI WAKE BUREEE BAADA YA HAPO KWA KUA NILIHISI UWANJA WA JAMHURI KUELEMEWA NA HAPAKUA NA TAHADHARI YEYOTE NIKAJINASUA MAPEMA SAA 11.05 HIVI JIONI,NAKUJA BAADAYE KUSIKIA MAAFA YALIYOTOKEA PALE WATU WASIO NA HATIA KUPOTEZA UHAI WAO.SOMO KWANGU NA KWETU NI HILI; WANASIASA HUBIRINI SIASA HATA KAMA WANAOKUSIKILIZA WACHACHE MSIBADILI KAMPENI ZENU KUA MAFIESTA TUNAIFAHAMU MISONGAMANO YA MAFIESTA NDIYO MAANA HAIFANYIWI KWENYE STADIUMS HATA SIKU MOJA.TUNAOMBA WAANDAAJI WACHUKULIWE HATUA ZA KISHERIA MAANA WAMEUA JAPO BILA KUKUSUDIA.BILA HIVYO HAKUNA FUNDISHO.
ReplyDelete