Mkuu
wa Wilaya ya Ruangwa ambaye pia ni Kaimu Mkuu wa wilaya ya Lindi na
Kilwa Mwal. Mariam R. Mtima (wa kwanza kushoto) akimsikiza Afisa Masoko
na Uhusiano wa Taasisi ya Miradi na Maendeleo ya Miundo Mbinu (UTTPID)
Kilave Atenaka (wa pili kulia) wakati mkuu huyo wa wilaya alipotembelea
banda la taasisi hiyo leo katika viwanja vya Ngongo Manispaa ya Lindi.
Kauli mbiu ya Manesho ya Nane Nane mwaka huu ni “Matokeo Mkubwa Sasa,
Tuchague Viongozi Bora kwa Maendeleo ya Kilimo na Ufugaji”.
Mkuu
wa Wilaya ya Ruangwa ambaye pia ni Kaimu Mkuu wa wilaya ya Lindi na
Kilwa Mwal. Mariam R. Mtima (kulia) akipokea zawadi kutoka kwa Afisa
Uhusiano wa Mfuko wa Pensheni wa PPF Mwajuma Msina (kushoto)
alipotembelea banda la taasisi hiyo kwenye maonesho ya Nane Nane leo
katika viwanja vya Ngongo Manispaa ya Lindi. Kauli mbiu ya Manesho ya
Nane Nane mwaka huu ni “Matokeo Mkubwa Sasa, Tuchague Viongozi Bora kwa
Maendeleo ya Kilimo na Ufugaji”.
Mkuu
wa Wilaya ya Ruangwa ambaye pia ni Kaimu Mkuu wa wilaya ya Lindi na
Kilwa Mwal. Mariam R. Mtima (kushoto) akisalimiana na mmoja wa
wafanyakazi wa Taasisi ya Miradi na Maendeleo ya Miundo Mbinu (UTTPID)
Mary Minja (kulia) leo katika viwanja vya Ngongo Manispaa ya Lindi.
Afisa
Maendeleo ya Jamii wilaya ya Masasi (kushoto) akimsikiliza Mhasibu
kutoka Idara ya Pensheni Wizara ya Fedha Imelda Mzatulla (katikati)
wakati wa Manesho ya Nane Nane yanayoendelea katika viwanja vya Ngongo
Manispaa ya Lindi ambayo yanaongozwa na kauli mbiu “Matokeo Mkubwa Sasa,
Tuchague Viongozi Bora kwa Maendeleo ya Kilimo na Ufugaji”. Wa kwanza
kulia ni Mchumi kutoka Idara ya Bajeti ya Serikali Wizara ya Fedha
Prosper Fivawo.
Afisa
Masoko kutoka taasisi ya UTT AMIS Waziri Ramadhani (wa kwanza kulia)
akitoa maelezo ya huduma zinazotolewa na taasisi yake kwa Mkuu wa Wilaya
ya Ruangwa ambaye pia ni Kaimu Mkuu wa wilaya ya Lindi na Kilwa Mwal.
Mariam R. Mtima (kushoto) leo wakati wa Manesho ya Nane Nane
yanayoendelea katika viwanja vya Ngongo Manispaa ya Lindi.
Afisa
Habari kutoka Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Ally Changwila
(kulia) akitoa maelezo kwa mmoja wa wageni waliotembelea banda la
mamlaka hiyo. Afisa huyo alifafanua kuwa jukumu la kudhibiti masuala ya
ki-usalama katika sekta ya usafiri wa anga nchini lipo chini ya mamlaka
hiyo kwa sheria ya usafiri wa anga ya mwaka 2006 ambapo amewahamasisha
Watanzania kutumia usafiri wa anga maana unatumia muda mfupi na ni wa
haraka kufika eneo analokwenda abiria.
Afisa
wa hali ya Hewa kutoka Pemba Suleiman Ali Juma akiwafafanulia wanafunzi
kutoka shule ya Masingi Tulieni kata ya Mnazi Mmoja Mkoani Lindi namna
mamlaka ya hewa inavyofanya kazi zake kwa manufaa ya Wanzania kujua
masuala ya hali ya hewa kila siku. Wwakati mkuu huyo wa wilaya
alipotembelea banda la taasisi hiyo leo katika viwanja vya Ngongo
Manispaa ya Lindi. Kauli mbiu ya Manesho ya Nane Nane mwaka huu ni
“Matokeo Mkubwa Sasa, Tuchague Viongozi Bora kwa Maendeleo ya Kilimo na
Ufugaji”.
0 comments:
Post a Comment