Waziri wa Ujenzi Dkt. John
Pombe Magufuli (Mb) akizungumza na wakazi wa Patandi, Sangis na Tengeru kuhusu
ujenzi wa barabara ya Sakina-Tengeru yenye urefu wa km 14.1 itakayojengwa kwa
njia nne pamoja na madaraja makubwa mawili.
Sehemu ya barabara ya Tengeru-Sakina katika eneo la
Patandi ikiwa imeanza kufanyiwa ukarabati utakaohusisha ujengwaji wa njia nne
kwa kiwango cha lami.
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa
barabara nchini TANROADS Eng. Patrick
Mfugale akitoa maelezo ya Mradi wa Ujenzi wa barabara hiyo pamoja na Barabara
ya Arusha bypass km 42.4
Mkuu wa Mkoa wa Arusha
Felix Ntibenda kushoto akifurahia jambo
na Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli (Mb) baada ya ukaguzi wa barabara
hiyo.
Mchoro ukionyesha jinsi
mradi huo utakavyohusisha maeneo mbalimbali ya ujenzi huo kuanzia Sakina hadi
Arushapamoja na ujenzi wa madaraja.
0 comments:
Post a Comment