Nafasi Ya Matangazo

July 14, 2015

Mlezi wa kikundi cha Timberland Jogging cha yombo Kilakala  Carren Mgonja akizungumza na maofisa wa Mfuko wa Afya ya Jamii NHIF walipowatembelea makao yao makuu.
Baadhi ya wanachama wa kikundi cha Timberland Jogging wakisoma vipeperushi vya Mfuko wa Afya ya Jamii NHIF 
Mlezi wa kikundi cha Timberland Jogging cha yombo Kilakala  Carren Mgonja kushoto akipokea fulana kutoka kwa Mkurugenzi wa Mfuko wa Afya ya Jamii NHIF .Eugen Mikongoti wa pili kushoto ni Mwenyekiti wa kikundi hicho Samir Choray na maofisa wa NHIF
 Mlezi wa kikundi cha Timberland Jogging cha yombo Kilakala  Carren Mgonja kushoto akipokea msaada wa fulana kutoka kwa Mkurugenzi wa Mfuko wa Afya ya Jamii NHIF .Eugen Mikongoti wa pili kushoto ni Mwenyekiti wa kikundi hicho Samir Choray na maofisa wa NHIF
Makao makuu ya kikundi cha Timberland Jogging wanachama wakiwa na maofisa wa NHIF baada ya kugawa msaada wa fulana pamoja na ahadi ya kufanya kazi p-amoja na kikundi hicho kilichopo Yombo Kilakala
Posted by MROKI On Tuesday, July 14, 2015 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo