Mwanafunzi
wa Shahada ya Uzamili katika Takwimu Rasmi kutoka Chuo cha Takwimu
Mashariki mwa Afrika kilichopo Changanyikeni Dar es Salaam Bi. Oloumi
Olatunde kutoka Nigeria akiwasilisha mada kuhusu Ufundishwaji wa Takwimu
Rasmi katika chuo hicho wakati wa Mkutano wa Kumi wa Maendeleo ya
Takwimu Afrika unaomalizika leo katika Ukumbi wa Mikutano wa Speke
Resort Kampala Uganda.
Wahadhiri
Dkt. Tumaini Katunzi (Kushoto) na Dkt. Frank Mkumbo kutoka Chuo cha
Takwimu Mashariki mwa Afrika kilichopo Changanyikeni Dar es Salaam
wakisikiliza kwa makini mada kuhusu Ufundishwaji wa Takwimu Rasmi
iliyowasilishwa na Mwanafunzi wa Shahada ya Uzamili katika Takwimu
Rasmi anayesoma katika chuo hicho Bi. Oloumi Olatunde kutoka Nigeria,
wakati wa Mkutano wa Kumi wa Maendeleo ya Takwimu Afrika unaomalizika
leo katika Ukumbi wa Mikutano wa Speke Resort Kampala Uganda.
Washiriki
kutoka Tanzania wakisikiliza kwa makini mada kuhusu Ufundishwaji wa
Takwimu Rasmi katika Chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika kilichopo
Changanyikeni Dar es Salaam iliyowasilishwa na Mwanafunzi wa Shahada ya
Uzamili katika Takwimu Rasmi anayesoma katika chuo hicho Bi. Oloumi
Olatunde kutoka Nigeria, wakati wa Mkutano wa Kumi wa Maendeleo ya
Takwimu Afrika unaomalizika leo katika Ukumbi wa Mikutano wa Speke
Resort Kampala Uganda.
Mshauri
wa Sensa ya Watu na Makazi kutoka UNFPA Tanzania Dkt. Collins Opiyo
(aliyeinama) akiteta jambo na Meneja wa Sensa ya Watu na Makazi Irenius
Ruyobya (katikati) na Meneja Rasilimali watu Gabriel Madembwe wote
kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu wakati wa Mkutano wa Kumi wa Maendeleo
ya Takwimu Afrika unaomalizika leo katika Ukumbi wa Mikutano wa Speke
Resort Kampala Uganda.
0 comments:
Post a Comment