WaziriMkuu, MizengoPinda akisalimiana
na Mbunifu wa kimataifa wa Mavazi, Sheria Ngowi alipotembelewa jana
nyumbani kwake Masaki jijini Dar esSalaam.
Mbunifu
wa kimataifa wa Mavazi, Sheria Ngowi akimuonesha Waziri Mkuu, Mizengo
Pinda baadhi ya vitambaa vya kisasa vya suti ambavyo vitatuka
Kumtengenezea Waziri Mkuu jana jijini Dar es Salaam.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiangalia na kuchagua aina ya vitambaa vya suti
amabvyo vitatumika kutengenza baadhi ya Suti Zake alipotembelewa na
Mbunifu wa Kimataifa wa Mavazi, Sheria Ngowi jana jijini Dar es
Salaam.
0 comments:
Post a Comment