| Mbunge Filikunjombe kushoto akifurahia utamu wa maji |
| Filikunjombe akitengeneza matawi ya miti kuwa chombo cha asili cha kuchotea maji |
| Upandaji wa mlima kutoka kwenye chanzo cha maji ulivyomtesa mbunge Filikunjombe |
| Wananchi wa kitongoji cha Dodoma wakifurahia maji |
| Wanawake wa kitongoji cha Dodoma kijiji cha Amani wakiwa wamemkumbatia mbunge wao Filikunjombe kwa furaha baada ya kutimiza ahadi ya maji |
| Mbunge Filikunjombe mwenye kijani kulia akikabidhi baadhi ya vifaa vya maji kwa wananchi wa kitongoji cha Dodoma Ludewa |
| Wananchi akifurahia vifaa hivyo |
| Baadhi ya vifaa hivyo |
| Mbunge Filikunjombe akiwahutubia wananchi hao kwa furaha |
| Wananchi wakifurahia wakati mbunge Filikunjombe akiwahutubia |




0 comments:
Post a Comment