MKURUGENZI MTENDAJI WA KAMPUNI YA MICHUZI MEDIA GROUP
(MMG) ANAPENDA KUTAHADHARISHA WADAU POPOTE WALIPO KUHUSIANA NA UJUMBE
(PICHANI) AMBAO UPO KWENYE FACE BOOK NA HATA KWENYE TWITTER) KWAMBA
UJUMBE HUO HAUHUSIANI KWA LOLOTE NA ANKAL MUHIDIN ISSA
MICHUZI, WALA MMG AMA WAKALA
WAKE.
AHSANTENI SANA
ANKAL
0 comments:
Post a Comment