Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ,
Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania, Mbwana . J. Mbwana (Kulia)akisalimiana na
Rais wa Umoja wa Vyuo vya Usafiri wa
Anga Barani Afrika(AATO) Tchagbele Sadamba
wakati wa mkutano mkuu wa kwanza
wa AATO unaofanyika Zanzibar kwa ajili ya kujadili mbinu za
kuboresha mafunzo ya usafiri wa anga
barani Afrika. Katikati ni Mkurugenzi wa Idara ya Udhibiti Uchumi Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA)
Dkt. James Diu.
Rais wa
Umoja wa Vyuo vya Usafiri wa Anga Barani Afrika(AATO) Tchagbele
Sadamba (Kulia) akiteta jambo na Katibu
Mkuu wa AATO Bi Margreth Kyarwenda
ambaye pia ni Mkuu wa Chuo Cha Usafiri wa Anga (CATC) , kinachomilikiwa na TCAA
wakati wa mkutano mkuu wa kwanza wa
AATO unaofanyika Zanzibar kwa ajili ya kujadili mbinu za
kuboresha mafunzo ya usafiri wa anga
barani Afrika.
Baadhi ya wataalamu wa sekta ya Usafiri wa Anga Tanzania wakifuatilia kwa
karibu mkutano mkuu wa kwanza wa Umoja
wa Vyuo vya Usafiri wa Anga Barani Afrika( AATO) unaofanyika mjini Zanzibar kwa ajili ya kujadili mbinu za
kuboresha mafunzo ya usafiri wa anga
barani Afrika.
Baadhi ya wataalamu wa sekta ya Usafiri wa Anga toka nchi ya Senegal wakifuatilia kwa karibu mkutano mkuu wa kwanza wa Umoja wa Vyuo vya Usafiri
wa Anga Barani Afrika( AATO) unaofanyika mjini
Zanzibar kwa ajili ya kujadili
mbinu za kuboresha mafunzo ya usafiri wa
anga barani Afrika
Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Usafiri
wa Anga Tanzania, Mbwana. J. Mbwana (katikati) akiwasikilza
wajumbe wa mkutano wa AATO , baada ya kufungua mkuu wa kwanza wa
Umoja wa Vyuo vya Usafiri wa Anga Barani Afrika( AATO) unaofanyika mjini Zanzibar kwa ajili ya kujadili mbinu za
kuboresha mafunzo ya usafiri wa anga
barani Afrika. Wengine kutoka kushoto ni
mjumbe wa Bodi TCAA, Yussuf . M. Ali, Mkurugenzi Idara Udhibiti Uchumi , TCAA, Dkt. James Diu , Rais wa AATO
Tchagbele Sadamba na Mjumbe
wa Bodi TCAA. Hanif. M. Malik.
Mkurugenzi Idara ya Udhibiti Uchumi(TCAA) Dkt. James Diu
, akitoa hotuba kwa wajumbe wa mkutano mkuu wa kwanza wa Umoja wa Vyuo Vya
Usafiri wa Anga Barani Afrika(AATO)
unaofanyika mjini Zanzibar kwa
ajili ya kujadili mbinu za kuboresha
mafunzo ya usafiri wa anga barani Afrika.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Dkt. Shabaan Mwinjaka(Kushoto) akifuatilia moja ya mada zilizokuwa zikitolewa kwenye mkutano
mkuu wa kwanza wa Umoja wa Vyuo vya Usafiri wa Anga Barani Afrika( AATO) unaofanyika mjini Zanzibar kwa ajili ya kujadili mbinu za
kuboresha mafunzo ya usafiri wa anga
barani Afrika.
Mgeni
rasmi wa mkutano mkuu wa kwanza
wa Umoja wa Vyuo vya Usafiri wa Anga Barani Afrika, Mbwana J. Mbwana (watano
kutoka Kulia) akiwa kwenye picha ya
pamoja na wajumbe wa baraza la Umoja wa Vyuo vya Usafiri wa Anga Barani
Afrika( AATO) unaofanyika mjini
Zanzibar kwa ajili ya kujadili
mbinu za kuboresha mafunzo ya usafiri wa
anga barani Afrika.
0 comments:
Post a Comment