Mkurugenzi
Mkuu wa NHC Bw.Nehemia Kyando Mchechu wa kwanza kulia mbele akitembelea
eneo la ujenzi wa nyumba za gharama nafuu zitakazojengwa katika
Halmashauri ya Busekelo Mkoani Mbeya alipotembelea Halmashauri hiyo
Septemba 3 mwaka huu .Picha na Saguya wa NHC.
Mkurugenzi
Mkuu wa NHC Bw.Nehemia Mchechu akitoa maelezo ya kuridhia eneo
walilopewa na Halmashauri ya Busekelo ili kujenga nyumba hivi karibuni.
|
Mkurugenzi
Mkuu wa NHC Bw.Nehemia Mchechu akielezea mpango wa shirika wa kujenga
nyumba za watumishi wa Halmashauri ya Busekelo alipotembelea Halmashauri
hiyo jana .Kushoto kwake ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Busokelo Bw.
Meshack Mwakipunga na kulia kwa Mkurugenzi Mkuu wa NHC ni Mkurugenzi
wa Halmashauri ya Busekelo Bw Saidi Mderu .
|
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Busokelo Bw,Meshack Mwakipunga akiutembeza ujembe wa shirika
la Nyumba la Taifa kwenye eneo la viwanja vitakavyojengwa nyumba na NHC hivi karibuni.
|
Ujumbe wa NHC na Halmashauri ya Busokelo ukiendelea kutambua viwanja vitakavyojengwa Nyumba na NHC hivi karibuni
|
0 comments:
Post a Comment