Nafasi Ya Matangazo

August 07, 2014

Umati wa wakazi wa Mkoa wa Lindi na Vitongoji vyake wakiwa wamefurika katika viwanja vya Maonesho ya Wakulima Nane Nane vilivyopo Ngongo Mkoani Lindi kushuhudia huduma ya taarifa za soko kupitia simu ya Tigo.
 Wananchi wakipata burudani ya sarakasi katika banda la Tigo.
 Meneja wa Mauzo wa mikoaya Lindi na Mtwara kutoka Tigo Bw. Daniel Maimuya akimuelekeza Afisa Kilimo wa Mkoa Bw. John Likango jinsi ya kutumia hudumayaTigo Kilimo, huduma inayomwezesha mkulima kupata taarifa ya jinsi ya kufanya kilimo cha kisasa kupitia simu yake ya mkononi.

 Watoto wakishindana katika michezo mbalimbali.
Watoto wakifurahia burudani ya kuruka ruka katika tufe.
Posted by MROKI On Thursday, August 07, 2014 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo