Mbunge wa Chalinze (CCM), Ridhiwan Kikwete ambaye pia ni Mlezi wa CCM Wilaya ya Mafia, amefanya ziara ya siku moja ya kutembelea Wilaya hiyo na kukutana na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi na kukagua ujenzi wa ofisi ya kisasa ya Chama hicho. Kikwete pia alikagua gati ambalo halijaanza kutumika kutokana na kukosekana kwa Boya elea kupokele abiria.

Jengo la CCM Wilaya ya Mafia.

Akiwa eneo la Gati
0 comments:
Post a Comment