WANAKIKUNDI wa Phenomenal Women Group (PWG) Jijini Arusha Mara wakiwa katika picha ya pamoja baada
ya kuwasili katika kituo cha Watoto Wanaoishi katika mazingira magumu
cha Sunrise Maji ya Chai nje kidogo mwa jiji la Arushawalipokwenda kutoa misaada mbalimbali kama mchango wao kwa
watoto hao.
Baadhi ya wanachama wa PWG wakishow love na watoto wa kituo hicho
Mlezi wa Kituo cha Sunrise cha kulelelea Watoto Wanaoishi katika
Mazingira Magumu {mama ngowi} akitoa maelezo kwa wanakikundi wa
Phenomenal Women Gruop maelezo kuhusiana na bustani za mboga wanazolima
katika kituo hicho mara baada ya kikundi PWG hicho kutembelea kituo
hicho na kutoa misaada mbali mbali(Picha zote na Ashura Mohamed,Arusha)
0 comments:
Post a Comment