Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Pindi Chana (kushoto) akizunghumza jambo na Mratibu wa Taifa wa mtandao wa Utepe Mweupe na
Uzazi salama , Rose Mlay mjini Dodoma jana. Semina hiyo ililenga kuwaomba Wabunge kuunga
mkono bajeti yenye kipengele kinacholenga huduma za uzazi za dharula ikiwa na
pamoja na upasuaji na damu salama katika vituo vya afya.
Wabunge wakifuatilia kwa umakini senmina hiyo.
Baadhi
ya wabunge wakisoma vipeperushi vilivyotolewa na mtandao wa utepe mweupe na
Uzazi salama mjini Dodoma jana. Semina hiyo ililenga kuwaomba Wabunge kuunga
mkono bajeti yenye kipengele kinacholenga huduma za uzazi za dharula ikiwa na
pamoja na upasuaji na damu salama katika vituo vya afya.
Mbunge wa Tabora mjini Ismail Aden Rage nae akisoma vipeperushi hivyo.
Msanii
wa Mashairi, Mrisho Mpoto maarufu Mjomba, akighani mashairi yake wakati Semina
ya Wabunge iliyolenga kuwaomba Wabunge kuunga mkono bajeti yenye kipengele kinacholenga
huduma za uzazi za dharula ikiwa na pamoja na upasuaji na damu salama katika
vituo vya afya. Semina hiyo iliandaliwa na mtandao wa utepe mweupe na Uzazi
salama mjini Dodoma jana.
0 comments:
Post a Comment