Mkurugenzi wa Lino International Agency,ambao
ndio Waandaaji wa Shindano la Redd’s Miss Tanzania, Hashim Lundenga akizungumza
na waandishi wa habari wakati wa kumtangaza mdhamini mwingine wa Mashindano
hayo, Marie Stopes Tanzania Dar es Salaam jana. Katikati ni Mkurugenzi Mkazi wa
Marie Stopes Tanzania, Ulla Muller na kushoto ni Redds Miss Tanzania 2013,
Happiness Watimanywa.
Katikati ni Mkurugenzi Mkazi wa
Marie Stopes Tanzania, Ulla Muller (katikati) akizungumza wakati wa kutangaza udhamini wao kwa shindano la Miss Tanzania 2014. Kushoto ni Mkurugenzi wa Lino International Agency,ambao
ndio Waandaaji wa Shindano la Redd’s Miss Tanzania, Hashim Lundenga na kushoto ni Redds Miss Tanzania 2013,
Happiness Watimanywa.
Katikati ni Mkurugenzi Mkazi wa
Marie Stopes Tanzania, Ulla Muller (katikati) akizungumza wakati wa kutangaza udhamini wao kwa shindano la Miss Tanzania 2014.
0 comments:
Post a Comment