Leo ni Siku maalum kwa Bibie Agnes Mabula ambaye ameandaliwa tafrija ya kumuaga kabla ya kufunga ndoa yake takatifu hapo Aprili 26, 2014 jijini Dar es Salaam. Tafrija hii ya aina yake inafanyika katika ukumbi wa Golden Jubelee Tower usiku huu huku pakiwa na burudani za kila namna. Production by: MD Digital Company: +255 755373999/+255 717002303.
Agnes Mabula akiwa katika pozi Salon kabla ya kuingia Ukumbini
Agnes akiwa na msimamizi wake
Hongera sana
ReplyDelete