Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze kupitia chama cha AFP, Ramadhani Mgaya akinadiwa na Mkurugenzi wa habari na uenezi wa AFP kitaifa, Mwalami Uwesu wakati wa kampeni za mgombea huyo katika ebneo la sokoni Chalinze mjini Kata ya Bwilingu Chalinze.
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze kupitia chama cha AFP, Ramadhani Mgayaakijinadi kwa wananchi wa jimbo la Chalinze wakati wa kampeni zake za kuwania Ubunge jimboni humo.
0 comments:
Post a Comment