Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifungua mkutano wa Wafanyabiashara na Wawekezaji
kati ya Israel na Tanzania, katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es
Salaam, leo Machi 17, 2014.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akipongezwa na Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara,
Janeth Mbene, baada ya kufungua rasmi mkutano wa Wafanyabiashara na Wawekezaji
kati ya Israel na Tanzania, katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es
Salaam, leo Machi 17, 2014. Kulia ni Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP, Regnald
Mengi (wa pili kulia) ni Mwakilishi wa Ubalozi wa Israel kwa nchi za Tanzania,
Kenya Uganda na Seychells, Gilad Millo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akikata utepe kuzindua Kampuni ya Balton Tanzania, baada
ya kufungua rasmi mkutano wa Wafanyabiashara na Wawekezaji kati ya Israel na
Tanzania, katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam, leo Machi 17,
2014. Kushoto ni Mtaalamu wa Kilimo, Maximillian Sarakikya (kulia) ni Mkuu wa
Maendeleo ya Biasara na Habari, Linda Byaba
Baadhi ya
washiriki wa mkutano huo wakimsikiliza kwa makini Makamu wa Rais Dkt. Mohammed
Gharib Bilal, wakati alipokuwa akiwahutubia ukumbini humo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki
wa mkutano huo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akisalimina na Makamu
Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Phillip Mangula, ambaye pia alikuwa ni
miongoni mwa washiriki wa mkutano huo, mara baada ya kufungua mkutano huo leo
kweny Ukumbi wa Mwalimu Nyerere.
0 comments:
Post a Comment