Nafasi Ya Matangazo

January 18, 2014

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisikiliza maelezo kutoka kwa mafundi wanaokarabati Ukumbi wa Bunge la Katiba mjini Dodoma leo wanati akikagua kazi ya uwekaji viti vipya katika ukumbi wa huo ikiwa ni maandalizi ya Bunge la Katiba linalotarajiwa kuanza mwezi ujao.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa ameketi kitini wakati akikagua marekebisho yanayofanyika katika ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Januari 18, 2013 ikiwa ni maandalizi ya Bunge la Katiba linalotarajiwa kuanza mwezi ujao.
Posted by MROKI On Saturday, January 18, 2014 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo