Kuna
mdada wa miaka 18 Ambaye amejifungua binti anaeitwa Maryam kwa bahati
mbaya sana mtoto Huyo alipozaliwa hakua na sehemu ya kutoa choo kikubwa
hali ya kwamba sehemu hiyo imefunga.
Kwa ujuzi wa ma daktari wa muhimbili wamemtoboa hapo ubavuni ili atoe choo kikubwa kwa njia hii.
Madaktari
walimshauri mama mzazi wa mtoto afanyiwe upasuaji wa kufungua njia ya
choo kikubwa akifika mwaka na nusu. Sasa amefika umri na mama mzazi yupo
kwenye hali Duni sana na Hana hela ya kumfanyia mtoto upasuaji huo.
Mnaombwa ndugu, jamaa na marafiki tumsaidie mtoto huyu. Haya ni Maisha Yake nawaomba mjitokeze kwa Moyo mkunjufu tumsaidie mtoto hyu.
Kama
Una msaada Wowote ule tafadhali unaweza kupiga namba hii: +255719009004
au Kama upo nje ya Tanzania na umeguswa na hili na unataka kutoa msaada
wako tafadhali Tuma kwenye account ya Barclays: Miss S.Yussuf sort
code: 207103 acc: 73049328 pia unaweza kutuma kwa njia ya wastern union.
Ama kwa TIGO PESA kwa namba+255719009004, Ahsanteni.
KUTOA NI MOYO SI UTAJIRI. MUNGU AWABARIKI SANA.
0 comments:
Post a Comment